×

Zicheki Picha za Wema Akiwa Mahakamani Asubuhi Hii

MSANII wa Bongo Muvi na malkia wa mtandao Bongo Wema Sepetu, ‘Madam’, asubuhi hii amefika katika mahakama ya mkazi Kisutu jijini Dar kujibu mashataka mbalimbali yanayomkabili.

Aidha Wema lilitajwa jina lake na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda katika vita dhidi ya madawa ya kulevya. kwa sasa Wema ni mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

 

 

Salum Milongo/GPL  PICHA na Mussa Mateja