








Samuel Abisai wa Kenya amejishindia Ksh. milioni 221 (sawa na Sh. Bilioni 4.8 za Kitanzania) kutoka kampuni ya Bahati Nasibu ya SportPesa.
Kijana huyo alishinda baada ya kubashiri mechi kumi na saba. Wananchi wengi wa Kenya wamepata hamasa ya kuendelea kucheza michezo ya kubahatisha ili kubadili maisha yao.
Samweli baada ya kukabidhiwa hundi ya pesa yake aliweza kufunguka kuwa alipopigiwa simu na mfanyakazi wa SportPesa hakuamini mpaka alipokabidhiwa fedha zake.
Hapa chini ni Tweet za SportPesa wakiwa na mshindi wa mtonyo huo.
Tumefika! We have come to pick the #221milli winner along Thika Road. pic.twitter.com/cKetb8ANxH
— SportPesa (@SportPesa) May 2, 2017
THE #221MILLI CALL!!! pic.twitter.com/fYBgUwehiu
— SportPesa (@SportPesa) May 1, 2017
When your neighbour wins #221milli pic.twitter.com/jNACVo9igG
— SportPesa (@SportPesa) May 2, 2017