Wabunge Wametoa Posho Yao ya Leo Rambirambi kwa Wafiwa Karatu
Global Publishers May 8, 2017 4,844 views 0 Comments
SHARE THIS:
DODOMA: Wabunge wote wamekubali kutoa posho yao yote ya leo kwa ajili ya rambirambi kwa familia za wanafunzi 32 waliopoteza maisha kwenye ajali juzi, Karatu.