Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokelewa na Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison George Mwakyembe alipotembelea ofisi za Shirika la Taifa la Utangazaji TBC Mikocheni Dar es salaam na kuongea na wafanyakaziRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokelewa na Mkurugezi Mkuu wa Shirika la Habari na Utangazaji Ayob Rioba alipotembelea ofisi za Shirika la Taifa la Utangazaji TBC Mikocheni Dar es salaam na kuongea na wafanyakazi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akioneshwa sehemu mbalimbali za studio za Redio na Televisheni za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea leo kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika moja ya studio za Televisheni za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) na mtangazaji Bi. Asha Haji alipotembelea kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi