Mzee Hamis Chifupa baba mzazi wa aliyekuwa mbunge wa Viti Maalum, marehemu Amina Chifupa, amefariki dunia usiku wa kuamkia jana nyumbani kwa mwanaye wa kike, Upanga, jijini Dar es Salaam, Anazikwa leo katika makaburi ya Kisutu.