
Mr Shinda Nyumba na wadhamini wa shindano la bahati nasibu la Shinda Nyumba awamu ya pili, TING, linaloendeshwa na kampuni ya Global Publishers kupitia magazeti yake ya Uwazi, Ijumaa, Ijumaa Wikienda, Amani, Risasi na Championi jana usiku wakati wa fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya (EUFA) kati ya Real Madrid dhidi ya Juventus, walifanya promosheni ya kugawa magazeti bure kwa mashabiki waliokuwa wakiangalia mtanange huo kwa wakazi wa Tegeta-Nyuki, Dar es Salaam, huku wadhamini wakipata fursa ya kuuza na kuelezea matumizi ya ving’amuzi vyao.



…

(PICHA NA ISSA MNALLY/GPL)