
MWANADADA anayefanya vizuri kwenye Muziki wa Bongo Fleva na wimbo wake wa Usimwache, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ameachia ngoma mpya ya Utamu wiki hii, Unaweza kuchukua dakika 3:39 kuisilikiliza na pia unaweza kuniachia maoni yako hapo chini kwenye comment ili LuluDiva akisoma ajue umeipokea vipi hii.