×

Mamlaka Ya Hali Ya Hewa Yatoa Tahadhari Ya Kuwepo Upepo Mkali Pwani Leo

Mamlaka  ya Hali ya Hewa nchini imetoa tahadhari ya kuwepo upepo mkali na mawimbi makubwa baharini katika maeneo ya Mwambao wa Pwani Jumapili hii.

Leave a Comment