×

Ally Mayay, Mtemi Ramamadhani na Fredrick Masolwa Warejesha Fomu TFF (Picha + Video)

Ofisa Habari wa TFF, Alfred Lukas
Mayay (mwenye koti jeusi) akisalimiana na mmoja wa mashabiki wake wanaomuunga mkono kutokana na uamuzi wake wa kuwania urais wa TFF.

Baadhi ya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi wa TFF wakirudisha fomu.
Mayay akifurahia jambo na mmoja wa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi wa TFF.
Mayay na Mtemi wakiwasalimia watu wanahabari (hawapo pichani)
Baadhi ya wagombea wa nafasi ya ujumbe wa TFF wakijadiliana jambo baada ya kurudisha fomu.

Leave a Comment