Rais John Magufuli amefungua kiwanda cha vifungashi cha Global Packaging (T) LTD mjini Kibaha asubuhi hii ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake ya siku tatu ya mkoa wa Pwani.