
Mamlaka ua Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) leo imetangaza bei kikomo za bidhaaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumiaka kuanzia Jumamosi, Tarehe 1 Julai 2017. Pamoja na kutambua bei kikomo za bidhaa mbalimbali za petroli nchi nzima, ni muhimu kuzingatia yafuatayo:-






