×

Boateng wa Bayern Munich Kutua Chelsea

Beki wa Bayern Munich, Jerome Boateng (kushoto) akimpiga kichwa mchezaji wa timu pinzani.

CHELSEA inajipanga kupeleka mshtuko mkubwa pale Bayern Munich wa kumtaka beki wao Jerome Boateng. Kocha Antonio Conte wa Chelsea anataka kuiboresha safu yake ya ulinzi tayari kwa kazi ya msimu ujao.


CHANZO: Daily Mirror

Leave a Comment