×

Breaking News: Bodi ya Shirika la Masoko Kariakoo Yavunjwa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, George Simbachawene amevunja rasmi Bodi ya Shirika na Masoko Kariakoo kutokana na bodi hiyo kushindwa kutekeleza majukumu yao kama inavyopaswa juu ya utekelezaji majukumu kwa uendeshaji wa bodi hiyo.

Leave a Comment