×
Global Publishers
  • Home
  • Habari
    • Kimataifa
    • Kitaifa
  • Global TV
  • Magazeti
  • Ajira
  • Burudani
    • Audio Music
    • Music Videos
    • Dar Live
  • Michezo
  • Makala
    • Afya
    • Mahaba & Maisha
    • Burudani
    • Hadithi
    • Mikasa
    • Siasa
  1. Home
  2. Championi
  3. Singida Kuzivaa Timu za Congo

Singida Kuzivaa Timu za Congo

Global Publishers July 26, 2017 4,818 views 0 Comments
SHARE THIS:
Wachezaji wa timu ya Singida United wakifanya mazoezi.

KATIKA kuhakikisha kuwa timu ya Singida United, inafanya vema katika Ligi Kuu Bara msimu ujao, kocha mkuu wa timu hiyo, Hans Var der Pluijm, amesema timu yake inatarajia kucheza michezo ya kirafiki nchini Congo na Uganda.

 

Kocha huyo amesema lengo la kufanya hivyo ni kuijenga timu yake kuelekea Ligi Kuu Bara msimu ujao inayotarajiwa kuanza Agosti 26. Pluijm ambaye mpaka sasa ameiongoza timu yake kucheza michezo miwili ya kirafiki, ambapo mchezo wa kwanza iliichapa Pamba kwa mabao 5-0 na mchezo wa pili akaifunga Alliance kwa bao 2-0, amesema kuwa kadiri siku zinavyokwenda timu yake inaimarika zaidi.

Wakiongea jambo wakati wa mazoezi.

“Nimeiona timu yangu katika michezo miwili ambayo tumecheza, kimsingi naona maendeleo makubwa na tutaendelea kucheza michezo mingi zaidi ili Singida iweze kufanya vyema katika ligi,” alisema. “Mipango iliyopo kwa sasa ni kuhakikisha timu inacheza michezo mingi ya kirafiki na tayari tuko mbioni kwenda Congo na Uganda, kwa ajili ya michezo ya kirafiki,” alisema.

Stori:  Johnson James | Championi Jumatano | Global Publishers

Angel Mary Kato Atoboa Siri Nzito Kuhusu BSS, Kumbe Waliachwa Kwenye Mataa

SHARE THIS:
Previous Next

Related Posts

Simba: Tunawafuata Kwao, Tunawapiga Hapohapo - Global Publishers CHAMPIONI

Simba: Tunawafuata Kwao, Tunawapiga Hapohapo

September 8, 2017
Michael Carrick, Abebeshwa zigo la Cantona, Roy Keane & Rooney - Global Publishers CHAMPIONI

Michael Carrick, Abebeshwa zigo la Cantona, Roy Keane & Rooney

July 21, 2017
Mwakinyo, Tinampay kupasuana bure - Global Publishers CHAMPIONI

Mwakinyo, Tinampay kupasuana bure

November 25, 2019
Makambo Akerwa na Ngumi Yakotei - Global Publishers CHAMPIONI

Makambo Akerwa na Ngumi Yakotei

October 3, 2018

Leave a Comment Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

DAKTARI

GLOBAL TV Online




SIMBA
YANGA
NEWS
Global Publishers
  • About Us
Download on the App Store
Get it on Google Play

© 2026 Global Publishers. All Rights Reserved.

Designed by Yatosha Web Services