UNAWEZA usiamini ila ukweli mzima upo hapa live kazi ni kwako ujionee live kijana Amosi ‘Viwembe’ akitafuna live chupa ya soda na viwembe katika mazinga ambayo hata kama ulikuwa huamini sasa utaamini kwani video hii ni ya vitendo na ni kweli chupa imetafunwa pamoja na viwembe vimemezwa jionee hapa kila kitu kupitia Global TV Online.