×

Uzinduzi wa Sokabet ni Leo, Endelea Kuvuna Mkwanja

Ozil na Sanches.

SIKU chache tangu Kampuni ya Sokabet ianze kuwawezesha Watanzania kuvuna mkwanja kutokana na mchezo wa kutabiri matokeo, hatimaye uzinduzi rasmi unatarajiwa kufanyika leo (Jumatatu).

Sokabet ambayo ni kampuni inayojihusisha na kutabiri matokeo ya michezo mbalimbali, itazinduliwa leo kwenye Hoteli ya Protea, Dar ambapo kutakuwa na mastaa mbalimbali.

Uzinduzi huo umekuja ikiwa ni baada ya wiki ya jana kampuni hiyo kupitia kipengele cha Sokabet Jackpot ndani ya tovuti ya www.sokabet.co.tz kutoa nafasi kwa Watanzania kushinda hadi shilingi milioni 100.

Mbali na Sokabet Jackpot ambayo ukiweka Sh 1,000 tu, unatabiri matokeo kisha kusubiri mamilioni yako, ndani ya tovuti hiyo kuna mambo mengi mazuri yanayohusisha kubashiri matokeo.

Zlatan Ibrahimovic na Paul Pogba.

Ndani ya tovuti hiyo, ukiwa na umri wa kuanzia miaka 18, unayo nafasi ya kutabiri matokeo na kushinda fedha nyingi.

Wapo ambao wamekuwa na hofu ya kushiriki kutokana na wao kutokuwa wataalam wa masuala ya michezo.

Habari njema ni kwamba, wala huna sababu ya kuwa mtaalam kama walivyo wachambuzi wa soka, bali ni bahati tu na wapo wengi walioneemeka kwa kubashiri licha ya kuwa hawana uelewa wa masuala ya michezo.

Kuna wakati bahati tu ndiyo itakubeba na kukupa mamilioni kwani ingekuwa inajulikana timu fulani inashinda, kusingekuwa na ushindani wa kubeti.

Lionel Messi.

JINSI YA KUTOA FEDHA ZAKO

Unapokuwa umebashiri na kushinda, kiasi ulichoshinda kitaingizwa kwenye akaunti yako ndani ya tovuti hiyo na utakiona kila utakapoingia.

Ukishaingia kwenye akaunti yako, utaona salio lililopo, ukitaka kulitoa, bonyeza kwenye jina lako, itatokea orodha ya vitu mbalimbali kuhusu akaunti hiyo, nenda sehemu iliyoandikwa ‘WITHDRAW’, ipo upande wa kulia, ukibonyeza itakuletea sehemu ya kujaza kiasi cha fedha unachotaka kutoa.

Ukishajaza, kwa chini utaona sehemu imeandikwa ‘WITHDRAW MONEY’, bonyeza hapo na fedha itatoka muda huohuo kuingia kwenye simu yako.

SH 200 INAKUPA MILIONI

Ukishaingiza fedha kwenye akaunti yako, unaweza kuanza kubashiri hata ukiwa na shilingi 200 tu ambayo itakuwezesha kupata mamilioni.

Diego Costa.

KUJIANDIKISHA NI BURE

Ingia www.sokabet. co.tz bonyeza sehemu ya ‘SIGN UP’, jaza nafasi chache zilizo wazi, ukimaliza utatumiwa namba yako ya siri kwa njia ya SMS.

Baada ya hapo utajerea sehemu ya kuingia ndani, yaani ‘LOGIN’, andika namba yako ya simu (uliyoijaza kwenye sehemu zilizo wazi) kisha ingiza namba ya siri ambayo ulitumiwa kwa njia ya SMS, hapo utakuwa umeshaingia kwenye akaunti yako rasmi.

Utakaporejea baadaye kufungua tovuti hiyo, hutakuwa na sababu ya kujiandikisha upya, badala yake utaingiza namba yako ya simu kisha namba ya siri tu basi.

Kutoka kushoto ni Gareth Bale, Antonio Griezmann na Cristiano Ronaldo.

KUINGIZA FEDHA NA KUBETI FANYA HAYA

Watumiaji wa Vodacom, bonyeza *150*00#, chagua namba 4 (lipa kwa M-Pesa), chagua namba 4 (weka namba ya kampuni), ingiza namba ya kampuni ambayo ni 335757, kisha ingiza kumbukumbu ambayo ni neno ‘Soka’.

Baada ya hapo utaingiza kiasi unachotaka kuweka, mfano, Sh 1,000 au 5,000 na kuendelea, utamalizia kwa kuingiza namba yako ya siri na bonyeza namba 1 ili kukamilisha mchakato.

Kwa Tigopesa, kubonyeza *150*01#, chagua namba 4 (lipia bili), bonyeza namba 3 (ingiza namba ya kampuni), ingiza namba 335757, kisha ingiza kiasi cha fedha, ingiza neno ‘SOKABET’, malizia na namba yako ya siri ya Tigopesa.

Kwa Airtel bonyeza *150*60#, chagua namba 5 (lipia bili), bonyeza namba 4 (namba ya kampuni), ingiza namba 335757 kisha ingiza kiasi cha fedha, itakwambia ingiza kumbukumbu namba (hapa ingiza neno ‘Soka’), kisha namba yako ya siri ya Airtel Money.

Hapo utakuwa umeshajaza salio kwenye akaunti yako ya Sokabet tayari kwa ajili ya kuanza kubashiri.

Neymar Jr.

JACKPOT YENYEWE INAKUPA SH MILIONI 100

Nikukumbushe tu kuwa pamoja na vipengele vingine vingi ili ushiriki kipengele cha kushinda hadi Sh milioni 100 unatakiwa ufanye yafuatayo;

Ingia www.sokabet. co.tz kisha utatakiwa kuingia kwenye akaunti yako (kama umeshajisajili), baada ya hapo juu kabisa kushoto utaona kuna sehemu imeandikwa JACKPOT, bonyeza hapo na itatokea orodha ya mechi unazotakiwa kubashiri ili ujishindie Sh milioni 100.

Unatakiwa kupatia matokeo ya mechi 13 tu. Idadi ya mechi za jumla ni 16, hizo 3 nyingine ni za ziada tu ambazo haziwezi kuathiri zile 13 ulizobashiri. Hizo tatu za ziada zinawekwa ili zijumuishwe kwa dharura endapo itatokea kuna mechi ndani ya zile 13 haikufanyika au haikumalizika.

Lukaku na Rashford.

UKIKOSEA MECHI CHACHE NDIYO BASI?

Ikitokea wabashiri wamepatia michezo 12 kati ya 13 basi watapatiwa Sh milioni 5 (Sh 5,000,000) watakaopatia mechi 11 watapatiwa Sh milioni 2 (Sh 2,000,000).

NAMBA YA BAHATI 335757

Kumbuka namba 335757 ambayo ni namba ya kampuni ni muhimu kuiweka kichwani lakini ukikwama popote ndani ya Sokabet, wasiliana na namba ya huduma kwa wateja ambayo ni 0654705555.

STORI: MWANDISHI WETU, DAR

=====

Kumbuka kuwa ili kujiunga na kubashiri ili kuvuna fedha unatakiwa kutembelea tovuti ya www.sokabet.co.tz ambapo humo ndani una nafasi ya kushinda hadi shilingi milioni 100 kwa kuweka Sh 1,000 tu.

Leave a Comment