×

LIVE: Ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa Longido, Mkoani Arusha

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amefanya ziara ya kikazi wilayani Longido, mkoani Arusha ambapo leo atazindua mradi mkubwa wa maji wilayani humo.

Endelea kufuatilia tukio hilo.

Leave a Comment