
KLABU ya Simba imekamilisha mazoezi yake asubuhi ya leo katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, ambapo kesho inatarajiwa kushuka dimbani hapo majira ya saa 10:00 jioni kucheza dhidi ya wenyeji wao Mbeya City.
Simba iliyo kileleni mwa Ligi Kuu Bara kwa ikiwa na pointi 16 mbele ya mbeya City yenye pointi 11.


(PICHA: MUSA MATEJA, MBEYA – GLOBAL PUBLISHERS)