



Timu ya Simba wameshinda bao 3 -1 dhidi ya Rukwa kwenye Uwanja wa Nelson Mandela leo mjini Sumbawanga, mabao ya Simba yamefungwa na Mohamed Ibrahim dakika ya 21 kipindi cha kwanza na Juma Luzio dakika ya 47 na 87. Kwa upande wa Timu ya Rukwa, bao lao limefungwa na Adam Matongwa dakika ya 19 kipindi cha kwanza.
(PICHA: MUSA MATEJA- SUMBAWANGA/GPL)
