×

Breaking News: Mhasibu Mkuu wa Takukuru Afikishwa Mahakamani

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru – PCCB), Brigedia Jenerali John Julius Mbungo.

 

MHASIBU wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Godfrey Gugai,  anayedaiwa kumiliki mali nyingi kuliko kipato chake, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma zinazomkabili.

                                                                    Geofrey John Ndugai

Gugai amefikishwa katika mahakama hiyo baada ya taarifa iliyotolewa siku chache zilizopita na Naibu Kamishna wa Takukuru, Brigedia John Mbungo,  kwamba mtuhumiwa huyo alikuwa ametoroka.  Mtuhumiwa huyo anatajwa kumiliki majumba na viwanja karibu kila mkoa nchini.

HABARI; DENIS MTIMA | GLOBAL PUBLISHERS

Mhasibu Takukuru Atoroka, Atakayempata Kuzadiwa Mil 10 (Video)

https://globalpublishers.co.tz/mhasibu-takukuru-atoroka-atakayempata-kuzadiwa-mil-10

Leave a Comment