×

Global TV Presenters Star Search

Je, una kipaji cha kutangaza kwenye runinga na una mvuto? Je, una elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea? Kama jibu ni ndiyo, basi hii inakuhusu!

 

Global TV inatafuta watangazaji wenye vipaji na mvuto kwenye runinga! Unachotakiwa kufanya, ni rahisi sana… nunua magazeti yanayochapishwa na kampuni ya Global Publishers ambayo ni Uwazi, Ijumaa, Amani, Risasi, Ijumaa Wikienda na Championi.

 

Ndani utakuta fomu maalum, ijaze ukiandika jina lako, umri wako, mahali unapoishi na kiwango chako cha elimu kisha ilete kwenye Ofisi za Global TV, Sinza Mori jijini Dar es Salaam au tuma kwa njia ya posta, kupitia Sanduku la Posta, 7534, Dar es Salaam.

Mwisho wa kujaza fomu za maombi ni Tarehe 31 November

Tangazo hili ni kwa wakazi wa Dar es Salaam Pekee…!

Global TV Presenter’s Star Search! Nafasi ni yako!

Leave a Comment