Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto, ameupokea uamuzi wa mahakama kwa furaha kubwa. Ameandika kwenye Twitter kwamba: “Halleluyah! Atukuzwe Mungu aliye mbinguni. Amelikumbuka taifa letu na kutupatia matumaini na mustakabali.”