JPM Amteua CAG Mstaafu, Ludovick Utouh Global Publishers June 21, 2018 4,682 views SHARE THIS: RAIS Magufuli amemteua CAG Mstaafu, Ludovick Utouh kuwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhamasishaji Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali za Madini, Mafuta na gesi Asilia Tanzania. SHARE THIS: