SpotiHausi ni kipindi cha #michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni leo usikose kutazama wachambuzi wa kipindi hiki, watakuchambulia yafuatayo:-
Katika kipindi cha Spoti Hausi leo, wachambuzi wako watakuletea uchambuzi wa mchezo kati ya Yanga na Ihefu
Watakuwa na mwenyekiti wa Tawi la Ubungo Terminal ambaye atafafanua kwanini tawi la Yanga linakufa. Nani anawalipia viingilio uwanjani?
Atamtaja staa anayemkubali sana kwenye kikosi cha Yanga kwa sasa na kwanini Ibrahim Ajibu ameshuka kiwango tofauti na kile alichokuwa nacho kwenye kikosi cha Simba.
Ni hapahapa #GlobalTVOnline Fanya kuingia hapa www.youtube.com/user/uwazi1