IKIWA ni mwendelezo wa vikao vya mkutano wa 10 wa Bunge la 11, vionavyoendelea katika makao makuu ya nchi mjini, Dodoma, Mbunge wa Tarime kwa tiketi ya Chadema, John Heche ameliamsha dude bungeni ,akifukua makaburi’ ya ufisadi.
Katika vikako hivyo, ambapo wabunge wamepata fursa ya kuuliza maswali naa kujibiwa na mawaziri kwenye sekta husika, akiwemo Waziri wa nchi, ofisi ya rais, Tamisemi , Waziri Jaffo pamoja na naibu waziri wake, Heche, amesimama na kuuliza kuhusiana na bei ya vitambulisho vya uraia vinavyotengenezwa na mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA), kwa kulinganisha na bei ya vitambulisho vya kupigia kura ambavyo anadai ndivyo vyenye gharama kubwa zaidi, lakini bei yake ni ndogo tofauti na hivyo vya Nida.
MFATILIE HAPA AKIFUNGUKA