Rais Samia Amwaga Bilioni 90 Wizara Ya Utalii-Video
Global Publishers October 17, 2021 4,608 views 0 Comments
SHARE THIS:
WAZIRI wa maliasili na utalii, Dkt Damas Ndumbaro, leo Oktoba 17, amezungumza na wanahabari kuhusiana na Mabilioni ya fedha yaliyotolewa na Rais Samia kuelekezwa kwenye wizara yake.