Wahamiaji haramu watano ambao ni raia wa Somali wamekamatwa, Wilaya ya Tunduma mkoani Mbeya wakiwa katika nyumba ya mama mmoja Mtanzania walipokuwa wamehifadhiwa.
Taarifa ya Kikosi cha Uhamiaji imesema, mbali na watuhumiwa hao, pia mama mwenye nyumba hiyo naye ametiwa mbaroni kwa kwa kutunza wahamiaji haramu kinyume cha sheria.
Tutumie video ya tukio lolote ambalo limetokea hapo ulipo kupitia WhatsApp 0753 715 779 tutakulipa mkwanja papo hapo.
TAZAMA TUKIO HILO