Jeshi la Polisi katika Kaunti ya Kiambu nchini Kenya, imefanikiwa kukamata simu zaidi ya 30 na watuhumiwa 12 wa matukio ya uporaji wa simu, wengi wakiwa ni wale wanaotumia bodaboda na visu kufanya uhalifu
Watuhumiwa hao wamekamatwa katika oparesheni maalum iliyoendeshwa na Jeshi la Polisi nchini Kenya katika maeneo ya Githogoro, Murera na Kiambu ambapo watuhumiwa hao, hujifanya ni madereva bodaboda kabla ya kuwapora abiria na watembea kwa miguu simu zao….