×

GLOBAL HABARI: Zitto Kafunguka Sakata la Watu Kutekwa, Kuuawa na Kupotea

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amezungumza na waandishi wa habari leo Machi 18, 2018, na kutoa mrejesho wa ziara yao nchini, kuchambua hali ya nchi iliyopo kwa ujumla pamoja na kutoa mapendekezo ya namna gani ambavyo wanaweza kukabili changamoto mbalimbali walizokutana nazo katika ziara hiyo.