Akizungumzia juu ya mafanikio yake akiwa Afrika Kusini, Banda amewaambia wafanyakazi wa Global Publishers siri kubwa ni kujituma, kuwa na nidhamu, kuzingatia maelekezo ya makocha wanaomfundisha sambamba na kujitambua yeye kama mchezaji.