×

Uzinduzi Wa Jumo Entertainment Sinza Wafunika (Video)

Mkurugenzi wa Jumo Pictures, Sitck Motela amesema watanzania wanataka vitu vizuri na bora hivyo kampuni yao imejipanga kuwapa wanatanzania wanachokitaka.