Taarifa kutokea Mkoani Dodoma ni kuhusu tukio linalowahusisha takribani wananchi 40 waliokula chakula kinachodaiwa kuwa na sumu msibani. Global TV imezungumza na baadhi ya waathirika waliokula chakula hivho, na haya ndiyo waliyosema.