×

Mlinga: Wapinzani Mnatukana Matusi Hamna Jema – Video

Mbunge wa Jimbo la Mlinga, Goodluck Mlinga, amesema kwa kawaida binadamu akitaka kuomba jambo lolote ni lazima kwanza aanze kwa kusifia lakini ni tofauti kwa wapinzani kwani tangu Bunge hilo limeanza wamekuwa wakikosoa kila mradi wa maendeleo uliofanywa na serikali pasi na kusifia hata mradi mmoja.

VIDEO: MSIKIE MLINGA AKIWAPA MADONGO UPINZANI