×

Breaking News: Mdogo wa John Heche Auawa Kwa Kuchomwa Kisu

 

Mbunge wa Tarime Vijijini kupitia (CHADEMA), John Heche.

Mbunge wa Tarime Vijijini kupitia (CHADEMA), John Heche amefiwa na mdogo wake, Suguta Chacha akidaiwa kuuawa kwa kuchomwa kisu usiku wa kuamka leo.

 

Mbunge John Heche amedhibitisha mdogo wake huyo kuuawa kwa kuchomwa kisu.

Wananchi wakiwa katika kituo cha polisi

 

Wananchi wa Kata ya Sirari Jimbo la Tarime vijijini amekusanyika katika Kituo cha Polisi cha Sirari baada ya Jeshi la Polisi kutuhumiwa kuwa Saguta aliaga dunia akiwa mikononi mwao.