
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya aliyewahi kuwa mwanasiasa maarufu na mkuu wa mikoa kadhaa nchini, Abbas Kandoro, aliyeaga dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa akitibiwa.
Barua ya rambirambi hizo ni ifuatayo hapa chini:

