×

Harmonize Ft Diamond Platnumz – Kwangwaru (Behind The Scene)

Wasanii kutoka label ya WCB, Harmonize  na Diamond Platnumz wametoa video ya kuonyesha maandalizi ya video ya Kwangwaru.