×

Binti ‘Aliyeachishwa Kazi na Shigongo’, Afunguka! – Video

MAISHA yanachangamoto nyingi na Mtu anaweza akapitia njia tofauti zenye maumivu na furaha, zenye raha na shida zenye mateso na faraja. Binti Ariana Mkadimba anamengi ya kusimulia juu ya maisha yake na kwa namna alivyoweza kujikwamua kimaisha.

 

Mwanadada Ariana ni mjasiriamali ambaye alikuwa akifuatilia semina na kusoma vitabu vya mhamasishaji na mfanyabiashara, Eric Shigongo, akitoa elimu ya ujasiriamali, jinsi ya kujikwamua na umaskini, ambapo alipata ujasiri wa kuacha kazi na kuanzisha biashara yake ya ufugaji wa kuku mpaka akafanikiwa kuanzisha kampuni yake na kuajiri watu lukuki.

MSIKIE HAPA AKIFUNGUKA

SHIGONGO: “Kilichonikomboa Mimi ni Kipaji Tu”