Kikao cha 28, mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza muda huu Bungeni mjini Dodoma, leo Jumatatu Mei 14, 2018 ambapo wameanza na kipindi cha maswali na majibu kwa Waziri Mkuu.