Rais John Magufuli leo amemteua aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Kangi Lugola, kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kuchukua nafasi ya Mwigulu Nchemba.