
ALIYEKUWA mpenzi wa Diamond Platinumz, Zarina Hassan “Zari The Bosslady”, ametoa pole kupitia akaunti yake ya Instagram kwa msanii wa filamu za Bongo na mdau wa muziki wa Bongo Fleva, Rose Alphonce ‘Muna Love’ kwa kufiwa na mwanaye.
Zari ameposti kipande cha video cha mtoto huyo kikienda na ujumbe huu My heart bleeds with you Muna 💔….He was one smart boy, may his soul rest in peace 🙏🙏