×

MUNA ALIVYOMUAGA MWANAYE LEADERS

Muigizaji Rose Alphonce ‘Muna Love’ (katikati) akisadiwa kwenda kuaga mwili wa mwanaye, Patrick,  viwanja vya Leaders,  Dar.
…Akilia kwa uchugu.
…Akiomboleza kwenye jeneza.
…Akiangalia mwili wa Patrick.

 

 

 

…Akiwa amelalia jeneza.
…Akisaidiwa baada ya kuanguka.
…Akipatiwa huduma ya kwanza.

Muigizaji Rose Alphonce ‘Muna Love’ ameaga mwili wa mwanaye Patrick katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam ambapo maelfu ya waombolezaji, ndugu, jamaa na marafiki wamefika kuungana na wazazi wa marehemu.

PICHA: RICHARD BUKOS | GPL