×

Waziri Gani Utendaji Kazi Wake Unakufurahisha?

KAMPUNI ya Global Publishers, wachapishaji wa magazeti ya Uwazi, Risasi, Amani, Ijumaa, Ijumaa Wikienda, Championi na Spoti Xtra imeandaa shindano la kuwatambua mawaziri wachapakazi.