Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, leo Julai 30 anakabidhi hati za viwanja vya Dodoma kwa Mabalozi wa Nchi mbalimbali na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa.