NEC Yakanusha Mawakala Kukataliwa Jimbo la Monduli – Video
Global Publishers September 16, 2018
SHARE THIS:
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC) Jaji Semistocles Kaijage (kulia) akiongea jambo katika kituo kimojawapo cha kupiga kura Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam.…Akifanya ukaguzi katika kituo.
MWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi (NEC) Jaji Semistocles Kaijage amekanusha habari zinazosambazwa kuwa mawakala wote Monduli wamezuiwa kuingia katika vituo vya kupigia kura na kwamba jimbo la Ukonga lenye vituo vya kupigia kura 673 uchaguzi unaendelea vizuri.