Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho na mabadiliko ya viongozi mbalimbali kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka.