
GAZETI jipya na bora la michezo la Spoti Xtra leo limeendelea kukimbiza mitaani ambapo wasomaji kwenye kona mbalimbali za Jiji la Dar wameonekana kulichangamkia.

Kikosi cha mauzo na usambazaji leo kilitembelea maeneo ya Buguruni, Temeke-Mwisho, Tandika-Maguruwe, Mwembe-Yanga, Temeke-Mikoroshini ambapo sehemu zote hizo walinaswa wasomaji wakiwa bize na Spoti Xtra.





PICHA: RICHARD BUKOS / GPL