×

KAMWELWE: MV NYERERE Imeshalala Ubavu, Kinachoendelea ni… – VIDEO

Boti zikiendelea kuingizwa ndani ya Ziwa Victoria katika eneo la tukio kuongeza nguvu ya kukinasua kivuko cha MV Nyerere kilichozama Septemba 20 mwaka huu katika kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe jijini Mwanza.

Zoezi la kukinasua kivuko cha MV Nyerere lilianza jana na leo linaendelea ambapo vikosi mbalimbali vya ulinzi na usalama ndio vinasimamia zoezi hilo.