×

Minaj Ashitakiwa Kwa Kutumia Wimbo wa Chapman Bila Kibali

Nicky Minaj and Tracy Chapman

RAPA Mmarekani, Nicki Minaj, amefunguliwa mashitaka na mwimbaji Tracy Chapman kwa kutumia  sehemu ya moja ya wimbo wake bila kibali.

 

Minaji anashitakiwa kwa kutumia maneno na sauti ya wimbo wa  Chapman wa mwaka 1988 uitwao ‘Baby Can I Hold You’ alivyoweka katika wimbo  wa ‘Sorry’.