Waislamu wa Misikiti ya kata tatu tofauti katika Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro wameandamana kuelekea katika Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya, kupeleka mashtaka yao ya kuporwa shule walioyoijenga kwa michango yao.