
Mama Nyamizi ni Mwanamke mjane anaeishi jijini Dar es salaam mwenye watoto wa watatu na aliejikita zaidi kwenye biashara ya kuuza mkaa wa rejareja.
Mama Nyamizi, muuza mkaa, amewashangaza wengi kwa jinsi ambavyo anavyoendesha maisha yake hasahasa alivyoamua kumsomesha mtoto wake kozi ya urubani yenye gharama kubwa zaidi ukilinganisha na kipato chake. Je, ungependa kujua kilichopo nyuma ya pazia?